jrmpya
Member
- Dec 3, 2014
- 74
- 58
Habari za mchana huu wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza pilipili kichaa inahitajika kwa wingi Sana zaidi ya tani kumi na tano.
Kama wewe ni mkulima wa pilipili kichaa au unafahamu mahali zinapatikana, tafadhali msaada wako unahitajika hapa.
0742304314
Shukrani kwa mchango wako.