Nilime fasta fasta nini?Habari za mchana huu wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza pilipili kichaa inahitajika kwa wingi Sana zaidi ya tani kumi na tano.
Kama wewe ni mkulima wa pilipili kichaa au unafahamu mahali zinapatikana, tafadhali msaada wako unahitajika hapa.
0742304314
Shukrani kwa mchango wako.
Aah fursa hii nzuri sana, ngoja niulize, but je mbeleni hawatahitaji tena?Hahahahahaa mkuu, umetisha Sana if possible ndani ya wiki zikawa tayari sawa tu.
Mkuu bei yenu kwa kilo iko vipi?Habari za mchana huu wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza pilipili kichaa inahitajika kwa wingi Sana zaidi ya tani kumi na tano.
Kama wewe ni mkulima wa pilipili kichaa au unafahamu mahali zinapatikana, tafadhali msaada wako unahitajika hapa.
0742304314
Shukrani kwa mchango wako.
Iringa Ruaha Mbuyuni site 1 in addition nina site ya 2 Songea.Wewe uko wapi mkuu?
Habari za mchana huu wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza pilipili kichaa inahitajika kwa wingi Sana zaidi ya tani kumi na tano.
Kama wewe ni mkulima wa pilipili kichaa au unafahamu mahali zinapatikana, tafadhali msaada wako unahitajika hapa.
0742304314
Shukrani kwa mchango wako.
Habari yako bado unazo hizo pilipili?Iringa Ruaha Mbuyuni site 1 in addition nina site ya 2 Songea.
Yeap ninazo kiongoziHabari yako bado unazo hizo pilipili?