Pilipili Maga ni tiba ya tatizo la vidonda vya tumbo?

Pilipili Maga ni tiba ya tatizo la vidonda vya tumbo?

vert boy

Member
Joined
Nov 29, 2023
Posts
18
Reaction score
23
Kuna baadhi ya watu wanadai kwamba pilipili manga ni tiba ya vidonda vya tumbo. Je kuna ukweli wowote kuhusu hili?

Na kama kuna ukweli wataalamu wa afya mnisaidie namna ya kutumia.
 
Back
Top Bottom