Pilipili Mwendokasi imesimamaje sokoni?

Pilipili Mwendokasi imesimamaje sokoni?

zyuho

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
220
Reaction score
348
Ndugu wanajamvi naona kilio kwa wakulima wa nyanya na nyanya chungu, very soon naanza kutoa mzigo wa pilipili shambani maeneo ya kilosa, vipi kwa upande wa pilipili sokoni imesimamaje.

Wadau mwenye taarifa anijuze
 
Vipi kwenye nyanya kupoje kwa sasa??
 
Back
Top Bottom