Pilipili mwendokasi katika kukuza uchumi kwa mkulima

Ukiona hawa wanaojiita "wataalamu" wanakupa mchanganuo wa "kitaalamu" kwa gharama za juu halafu wao ndio wanauza mbegu na mbolea na mwisho wao ndio wanunuzi au watakutafutia masoko ya uhakika ujue 99% ni matapeli

Watakuuzia mbegu na madawa na utaalamu kwa bei ghali kweli kweli kisha muda wa mavuno au mambo yakienda mrama hutawaona tena

Wapo kuuza mbegu na madawa kwa bei ya juu tu
 

Mkuu mimi nalima lkn sijapata soko la uhakika, vipi unajua wanunuzi uniunganishe nao? Nimelima hekari 5 kwa sasa.
 

Walikuja Moro 2016wakitokea Dom..kuna pilipili tukaambiwa watu tulime..zonaitwa eye bird kama sikosei...ohh kilo tutanunua 1700 acha watu walime...walionekana basi??/.pyee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…