asante na hongera kwa kujua kupika beef, tumegee na sisi tufaidi basi.
pilipili inatibu vidonda vya tumbo,hasa zile ndefu,fanya research.Kama una vidonda vya tumbo ndiyo huwa ni hatari tofauti na hapo pilipili ni dawa, inaongeza mzunguko wa damu, huongeza hamu ya kula, huondoa sumu mwilini na vile vile huongeza nguvu za kiume (waulize wahindi watakuambia).
inatibu vidonda hasa zile pilipili ndefu wanaziita cayenne.kipi ni kipi? inatibu vidonda ama inaongeza tatizo?