Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 130
Pilipili ni vegetable. Mbali na kuwa na vitamins na madini kama vegetables nyingine, pilipili inaongeza apetite ya kula pamoja na kusaidia katika digestion. Huko nyuma kabla ya ugunduzi wa refrigiration pilipili ilikuwa mojawapo ya viungo vya kutunza vyakula (preservatives). Wataalamu zaidi wataongezea manufaa mengine.Wana JF,
Nimekuwa nikila pilipili kwa mazoea muda mrefu umepita bila kufahamu mbali na hiyo ladha kali iliyonayo, ina kazi nyingine mwilini kitaalamu? Naomba wadau wenye upeo na hili wanijuze nipate kuelewa.
Dah kuna siku nilialikwa chakula na rafiki angu mhindi hehe hehe nilijuuuta kula kwa watu shughuli yake chooni acheni tuuu
Dah kuna siku nilialikwa chakula na rafiki angu mhindi hehe hehe nilijuuuta kula kwa watu shughuli yake chooni acheni tuuu
Hehehehe! Mwana Ukome hiyo inaitwa hahahah! hao jamaa kwa pilipili noma!pole MR!
Hahahahahaha si ungeahirisha tu kwenda kwenye shughuli za kule mahali hadi tumbo litulie LOL! MR, inaelekea tumbo lako limechakachuliwa LOL! Vinginevyo hutakiwi kusikia chochote kama tumbo lako liko bomba.
Yani i wish ningeweza ahirisha yaliyonikuta we nipe pole tuuu tumbo langu halijazoea mikiki mikiki!!! ila cha moto nilikiona mwanaa khaaa!!
Thanx Rev kwa ufafanuzi.
Kumbe ina faida namna hii.Pia inakufanya uwe Hot sexual So inawza kuwa Dawa kwa watu wenye matatizo ya kukosa hamu ya kufanya mapenzi.