PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,199
- 8,761
Kwa watu wa Dar, kuna lile eneo kubwa opposite na San Cirro, ambapo kuna groceries nyingi na parking za magari.
Pale ndani kuna kina kitimoto matata sana, lakini kinachonivutia mimi ni ile pilipili tamu ya aina yake ambayo binafsi sijapata kuionja mahala popote mikoa yote niliyozunguka.
Kwa huku Arusha hata hawana idea ya ninachoongelea, maana hakuna kitu ya aina ile.
Hakika sijui ile makitu spicy namna ile huwa inatengenezwaje!!
Naomba ajuaye anijuze ili Mama Naniliu aiandae siku moja!