Pilipili ya mwendo kasi

Hata mimi huo wa maeneo pendwa unanitokea sana, bora hata iingie jichoni.
Kule unapata aibu ukiwa unajiona kabisa.


Aahahahahaaa pole mwaya, pilipili yawasha ila ndo utamu wake.
 
Wale waliowahi kupata ajali ya pilipili kuingia jichoni wanaelewa
katika vitu siwezi kuvisahau ni hili tuko aiseeee sikia tu pilipili jichoni isikuingie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…