Duuuuuh hayo mashart mbona ya moto sana bibie kasie mwenye yake Matata ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeee acha basi hizo bibiee za usku hivi si poa. Tuanze za uso kwa uso mchana then usikuMtaka cha uvunguno sharti ainame yakhee, hakuna mkate mgumu mbele ya chai....
Wee fanya hatua zote hizo ujionee Kasie akiwa mbele yako mida hii hii...
Weeee acha basi hizo bibiee za usku hivi si poa. Tuanze za uso kwa uso mchana then usiku
Sent using Jamii Forums mobile app
Popote unakotaka Kasie sema tuHaya tuanze, mchana upi na wapi....halafu iwe uso kwa uso kweli, sio viganja kwa bega....aahahahahhahaa
Kasinde Matata.
Duuuuuuh sasa ndo kukataa gani huku jamani ?Iwe mchana wa jumamosi ya nne ya mwezi wa pili maeneo ya mbagala.
Ok i will be there. Jumamosi ya nne ni ya tarehe 22 keep it bibie Kasie na Matata yako.Iwe mchana wa jumamosi ya nne ya mwezi wa pili maeneo ya mbagala.
Iwe mchana wa jumamosi ya nne ya mwezi wa pili maeneo ya mbagala.
Keep it low ni mim na ww what a wonderful day oooh Lord keep me safe na Huyu Bibie Kasie Matata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok i will be there. Jumamosi ya nne ni ya tarehe 22 keep it bibie Kasie na Matata yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bibie uje kwenye box tu ili tupange kuonana,Cheers and see you there...