pilipili

Huyo mwanamke ni sugu, yaani anapaka viks down stairs..... Lol
 
Ushauri wangu kwenu vijana, .................. wimbo wake Feruzi, ........ noumaaaaaaaa!!!
 
Yaani na mouth wash maana ina ukali unamfaa sana huyo bidada
 
\


Je, mmepima?
Kama hamjapima, unamuaminije mwenzio kiasi hicho? mtu ambaye anaonesha ana abnormal sex experiences kufanya nae mapenzi bila kinga?
 
vijana wa leo si wanaona kila basi latakiwa pandwa, hawajui mengine ni mabasi ya relwe, likitoka ubungo leo lafika kibaha kesho kutwa
 
vijana waavyo tafuta joto utadhani wanaishi barafuni
 
vijana wa leo si wanaona kila basi latakiwa pandwa, hawajui mengine ni mabasi ya relwe, likitoka ubungo leo lafika kibaha kesho kutwa
 
Dunia imeisha.huyo mdada kabila gani?sidhani kama ni mtanzania labda uniambie mhindi wao ndo wanapenda pilipili...hiyo ya pilipili ni mateso matupu ila ya viksi ngoja nimshawishi demu tujaribu he he he he.
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah hii kali ya mwaka,sikulaumu ulisema huyajui ukijua utaacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…