Pillow Talk: Lies of True Love..

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
We are going to have a pillow talk here.

Uongo kwenye Penzi la kweli...

Ni pillow talk tutaenda zaidi ya mada pia.
welcome and watch.

niko na 'Valentina'....
 
Last edited by a moderator:
'Valentina' mambo vipi mdada?
welcome for the night talk..
 
Last edited by a moderator:
sory kuingilia nilidhani Times Fm kumbe kiwatengu .ngoja niangalie tu
 
Last edited by a moderator:
asante, na nadhani mada umeisoma vizuri,
tuanze sasa, uliwahi kuwa na true love to any one?

Yap nilibahatika kupata true love japo halikuweza kudumu kwa muda mrefu kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu
 
Asante,sikukacha ilitokea bahati mbaya tuliependana alipata ajali ya gari na kupoteza maisha.

o.m.g!! pole sana..
tell me now nini nafasi ya uongo katika true love?
uongo una nafasi katika kupendana kwa kweli?
 
o.m.g!! pole sana..
tell me now nini nafasi ya uongo katika true love?
uongo una nafasi katika kupendana kwa kweli?

Uongo katika mapenzi haukwepeki ila inategemea na uongo wenyewe,unaweza kubomoa ama kujenga.
 
Niliwahi kuutumia nikaokoa jahazi japo sipendi uongo ila inapobidi inanilazim ili kulinda penzi.

hapo sasa..kwenye kuokoa jahazi!! valentina kama kuna true love na hali nu shwari jahazi linaanzaje kuzama? hadi useme uongo kuliokoa?
 
hapo sasa..kwenye kuokoa jahazi!! valentina kama kuna true love na hali nu shwari jahazi linaanzaje kuzama? hadi useme uongo kuliokoa?

Hahaaa true love ipo sawa lakini kuna muda unajua mwenzako akisikia jambo hili litamkwaza,sasa ili kufunika kombe nisimuharibie furaha yake inabid nitumie hiyo njia mbadala. Japo sio salama sana lakini ila mazingira wakati mwingine yanalazim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…