Hahaaa true love ipo sawa lakini kuna muda unajua mwenzako akisikia jambo hili litamkwaza,sasa ili kufunika kombe nisimuharibie furaha yake inabid nitumie hiyo njia mbadala. Japo sio salama sana lakini ila mazingira wakati mwingine yanalazim
ha ha ha ha...twende sawa kidogo ni zipi elements za true love, niambie japo tatu tu!!
afu nitakuuliza kitu..
ukweli kiasi na uongo kiasi!! hii inaweza kuwa moja wapo?
Yap nilibahatika kupata true love japo halikuweza kudumu kwa muda mrefu kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu
Point of interaction, true love never end, hiyo probably ilikuwa crash, sorry though
asante.. what about sex, ina play role yoyote ile katika true love?
anza na hiyo hapana.
true love without sex ni rahisi ku exists?
kwa hiyo ndiyo! nini uzoefu wako wewe amabaye uliwahi kuwa na true love..
Linaweza ku exists kama wote mtakubaliana na kuvumiliana katika hilo hii ni kwa wale ambao bado hawajahalalishwa ama wako mbalimbali kwasababu za kueleweka.
Sina uzoefu kivile ila kwakipindi kifupi cha uhusiano huo niliweza ku enjoy kwa wakati huo nina hakika true love ipo hata kwa watu wengine.
wewe ulifurahia nini sasa! nikuulize mlikuwa mnasex?
safi..naanza kuelewa sasa, kilichokuwa kinakufurahisha ni sex right?
na kwa sasa una boyfriend mwingine?
yaah.. najua kitu cha kufurahisha katika true love ni good sex.
currently! una mpenzi mwingine si ndiyo?