Pillow Talk: Lies of True Love..

Hatujaingia rasmi katika penzi

kwa maana ya kwamba hamjaanza kusex ila mnamahusiano.
hivi penzi si kusex?
hapo maana kubwa ni kuwa ni boy wako ila hamjaanza ku do.

So kwako kikubwa katika mahusiano ni ku do?
 
kwa ya kwamba hamjaanza kusex ila mnamahusiano.
hivi penzi si kusex?
hapo maana kubwa ni kuwa ni boy wako ila hamjaanza ku do.

So kwako kikubwa katika mahusiano ni ku do?

Mmh lugha gongana,bado hatujaingia kwenye uhusiano wa kimapenzi. Kwasasa ni marafiki wa kawaida kiukaribu.
 
waoh!! nimekuelewa.. kwa hiyo ukisex ukiwa kwenye true love lazma ufike kileleni?
u always do it?

Kwa style hiyo utafika tu kwenye huko kileleni coz ukiwa na umpendae ni full kujiachia hakuna kuwaza lingine hapo
 
Kwa style hiyo utafika tu kwenye huko kileleni coz ukiwa na umpendae ni full kujiachia hakuna kuwaza lingine hapo

so kusex kunachange according to love..
sasa jamaa akiingia kingi mbona kuna dalili zote za kumpunja wewe? will you give him all!!
 
Hahaaa afu wewe

umesema mwenyewe kuwa ni mtu unayetegemea kuwa nae mapenzini ila kwa sasa nyie ni marafiki tu.
weka wazi, keshatupa ndoano unasubiria kumkubalia ama?

asipofanya hivyo utatupa ndoano wewe?
 
so kusex kunachange according to love..
sasa jamaa akiingia kingi mbona kuna dalili zote za kumpunja wewe? will you give him all!!

Mmh sitampunja bana,tutafikishana tu huko juu
 
umesema mwenyewe kuwa ni mtu unayetegemea kuwa nae mapenzini ila kwa sasa nyie ni marafiki tu.
weka wazi, keshatupa ndoano unasubiria kumkubalia ama?

asipofanya hivyo utatupa ndoano wewe?

Kashatupa ndoano na muda wowote nitamfungulia moyo
 
sasa utajuaje kama ana mpango wa kukutongoza?
au asipofanya hivyo u'll do it by ur self?

kashasoma alama za nyakati anajua mwisho wa movie lol
ohooooooos sorry kumbe muda wa watazamaji bado
 
Mmh siwezi jua hilo,kwa upande wakufika mara nyingi hua nafika ndio.

vale. kufika kileleni ni ujanja wa styles ama ni kupenda?
do u think any sex position inaweza kukufikisha kileleni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…