Pillow Talk: Nani ameshawahi ku play hii game ya karata na mpenzi wake

Pillow Talk: Nani ameshawahi ku play hii game ya karata na mpenzi wake

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,412
Reaction score
20,685
Nipeni mrejesho, maelezo na ushuhuda utafuatia baadae
1521892995649.jpg
1521893035220.jpg
1521893132012.jpg
 
Eti mkurya katoka shambani anakaa na mkewe aanze kucheza karata zilizochorwa makopakopa

tupeni breki muraa
 
Eti mkurya katoka shambani anakaa na mkewe aanze kucheza karata zilizochorwa makopakopa

tupeni breki muraa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] muraaa kama sio karata kutakua kuna kamchezo tuu ka kuanzisha shughuli rasmi
 
Ha ha wamatumbi haya siyo mambo yenu
1521893725566.jpg
 
Kuna demu wangu mmoja tulikuwa nachega nae karata nikimfunga anavua nguo maja kwa kila goli inafkia kipindi najikosesha ila na mm nivue hadi tunamaliza zote, then game la kikubwa linaanza! Ujana raha sana!
 
Back
Top Bottom