Habari zenu Wana JF, naamini wote ni wazima wa afya.
Bila kupoteza muda twende kwenye swali langu la leo.
----------------------------------------------------------------
Mwalimu alisema "Laiti Jana ingekuwa Kesho, Leo ingekuwa Ijumaa".
Je Mwalimu aliyasema hayo siku gani?
----------------------------------------------------------------
Nategemea Jibu kutoka kwenu.
Asanteni.
Simple, alisema hayo Jumapili.
Vilaza ambao hawajaelewa waniPM niwadadavulie.
Tuition fee itahusika.
Kibaya zaidi ayaseme Jumapili badala ya kwenda kanisani.na kwa nini huyo mwalimu aseme hayo maneno ya aibu namna hiyo hadharani.......?