Dah babu kwa kweli hili swali limeniumiza kichwa hadi nimechukua calculator ila badi sijaambulia kitu ila nakomaa kwanza coz jibu lako bado nahisi si sahihiKibaya zaidi ayaseme Jumapili badala ya kwenda kanisani.
Mi nakasirikaga sana asee.

THAFIII
Usiumize kichwa sana kilaza, sorry ndugu yangu. Kuna jiniaz kakudadavulia, msome hapo chini.Dah babu kwa kweli hili swali limeniumiza kichwa hadi nimechukua calculator ila badi sijaambulia kitu ila nakomaa kwanza coz jibu lako bado nahisi si sahihi
Leo ni jumapili, kwani jana ni Jumamosi ambayo kama ingekuwa kesho basi leo ingekuwa ijumaa
Kwa kudesa we mkareeeJumapili
Leo ni jumapili, kwani jana ni Jumamosi ambayo kama ingekuwa kesho basi leo ingekuwa ijumaa
Kwa kudesa we mkareee
Hahahahaha.... mekumbusha ODM mbali kuleeeeeNidese hisabati? Unamjua Mshimba wewe na Kakiko??
Nlikuwa nakokotoa hadi namkokota Mwalimu Hall 3:rockon:
Hapa Kongosho hausiki, kadesa jibu langu.Nilijua wewe ndo ungekuwa wakwanza kujibu, kumbe fikira zangu zilienda kombo.
Hongera Gaspery Lasway hengera nyingine kwa babu Asprin na Pianist kama hamjamwigia Gaspery Lasway. Kongosho nawe nakupongeza kwa kujibu japo umechelewa sana.

Nilijua Erickb52 Kaunga na dada gfsonwin ndo mngekuwa wakwanza kujibu, kumbe fikira zangu zilienda kombo.

Hongera Gaspery Lasway hongera nyingine kwa babu Asprin. Pianist nakupongeza kwa kulidadavua jibu lako vizuri.

Kongosho nawe nakupongeza kwa kujibu japo umechelewa sana.

Mpwa wangu Elli na wengine kama sosoliso, KakaJambazi, naumbu, kapu na wamogori
Hahahahaha.... mekumbusha ODM mbali kuleeeee.

Siku ya jumapili
Hahahaha chezeya Maclaurin na Taylor series wewe.... zilizengua nilipozishtukia mbona zilinitambua kudadadeki!Ha ha ha ha, lazima alikushika wewe
Nilijua Erickb52 Kaunga na dada gfsonwin ndo mngekuwa wakwanza kujibu, kumbe fikira zangu zilienda kombo.
Hongera Gaspery Lasway hongera nyingine kwa babu Asprin. Pianist nakupongeza kwa kulidadavua jibu lako vizuri.
Kongosho nawe nakupongeza kwa kujibu japo umechelewa sana.
Mpwa wangu Elli na wengine kama sosoliso, KakaJambazi, naumbu, kapu na wamogori
Simple, alisema hayo Jumapili.
Vilaza ambao hawajaelewa waniPM niwadadavulie.
Tuition fee itahusika.