Kifaa cha kupimia joto la mwili wa binadamu kijulikanacho kama "thermometer", hakiwezi kua kienezi cha baadhi ya magonjwa ya binadamu?..mf: magonjwa ya ngozi na mengineyo kama hayo, kwa sababu nimechunguza kwenye vituo vingi vya afya, na nmegundua kua kikiwekwa kweny kwapa la mgonjwa na kumaliza kazi yake ya kupima joto la mgonjwa huyo..,basi akija mgonjwa mwengine,huwekewa kifaa hcho hvyo hvyo bila hata kusafishwa...naomba mwenye utaalam na hili atujuze...akhsanten.