Pimeni dna acheni kulalamika ovyo nje

Pimeni dna acheni kulalamika ovyo nje

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
unajua limezuka Wimbish la vijana kuzaa ovyo kama ufahari

sasa wamefika wakati bar kila kijana analalamika aisee m yule mtoto xxx sijui kama sijaibiwa

hii n dhambi msiumize kichwa kama mnaona usumbufu ama maumivu fanyeni haya

najua itaumiza ila tumechoka na malalamioo yenu

Nenden na watoto zenu kapimeni dna kama mna moyo

wengine mioyo yetu tuliiachia kwa Bwana atukuta maumivu
givitas vyetu vitan vya bwana

wengine tumekuza hivyo hivyo enzi zetu bila kujali wala kuwaza n wa nani tunachojua tunaitwa Baba
 
Back
Top Bottom