Pinda Aliukataa Uwaziri Mkuu


Mzee mbona chama kinaonekana kukosa msimamo na mshikamano, mara hakimtambui rais, mara kinamtambua lakini hakitambui matokeo (what is that). Chama kinakosa sauti moja, wengine wanaamua ku walk out, wengine wanagomea walk out.

Na ile walk out ilipata baraka za wananchi na wapiga kura wenu?
 
si gongo la mboto bali ni kule PUGU ndipo anapojenga mjengo wake wa kupumzika baada ya kustaafu...awapo mjini hupendelea sana kwenda huko na kukagua maendeleo
 
jamani humu sasa umekuwa ni umbea sometimes

Ndio maana habari ikawekwa kwenye sehemu husika; Jokes/Utani + Udaku/Gossips sasa wewe ukiichukulia seriously shauri yako. Hii ndio Bongo bwana kila mtu anajifanya anataarifa kutoka chini ya kapeti th! th! th!

Halafu kutupiga mkwara wanatwambia source: system.
 
Kama ni kweli nadhani itakuwa aadhali bse mambo ya kuwa ceremonial leader nayo inakera
 

Choo ulichoingia si cha jinsia yako,uwe unasoma maandishi mlangoni kabla ya kuingia.
 


siyo kweli maana mimi nilikuwa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…