kapotolo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 3,727
- 2,217
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amemshangaa Mwanasheria mkuu kwa kusema kauli aliyotoa kuhusu Katiba mpya kuwa ni maoni yake binafsi. Amesema kauli anayotoa kiongozi yoyote akiwemo yeye mwenyewe Pinda haiwezi kamwe kuwa kauli yake binafsi. (Mlimani TV)
Namuomba Mh Mwanasheria mkuu aahidi kutorudia tena kutoa kauli zake binafsi. Tunajua alikuwa anajipendekeza lakini akumbuke akauli zake ni za serikali hata awe anajikombakomba.
Ni hayo tu.
Namuomba Mh Mwanasheria mkuu aahidi kutorudia tena kutoa kauli zake binafsi. Tunajua alikuwa anajipendekeza lakini akumbuke akauli zake ni za serikali hata awe anajikombakomba.
Ni hayo tu.