Uchaguzi 2020 Pinda: CCM ni chama Kikongwe na kimefanya mambo mengi; ni vigumu kuondolewa madarakani kwa kuwa kinajali maslahi ya watu

Huyu Mzee pinda kachoka kisiasa
Juzi nilikuwa MP,pinda alikuja kumnadi mgombea ubunge sijaona chamaana zaidi ya kuwa MC
 
Hao wastaafu wangepumzika tu.. hatudanganyiki kwa sasa
 
Kipimo kinatokewa kila baada ya miaka mitano tangu mwaka mfumo wa vyama vingi uanze, saivi tunazungumzia miaka mitano ya Magufuli
 
Hajui anazungumza nini huyo pinda.
 
Pia CCM imepitisha jina la mwanao kugombea ubunge bila kupingwa.
 
Mwinyi- watoto x2 Ubunge, Mke wa mtoto Ubunge na mtoto Urais ZNZ
 
Mzee pumzika; mziki wa kampeni hutauweza....mgombea wako kuongea miaka 5 mfululizo ana jipya ili watanzania hawa wamsikilize ? au hiyo fiesta!!
 
Mzee pumzika; mziki wa kampeni hutauweza....mgombea wako kuongea miaka 5 mfululizo ana jipya ili watanzaniahawa wamsikilize ? au hiyo fiesta!!
Tunaompenda tunamsikiliza na tutamchagua oct 28
 
Tutengenezee thread ya hii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…