V vicenttemu Member Joined Nov 16, 2010 Posts 44 Reaction score 1 Dec 18, 2010 #1 PM Pinda anaonekana kuwa muwajibikaji ndani ya sirikali ye2. Amezungumzia swala zima la kubadili katiba na mchango wake ktk hili ni muhimu sana.
PM Pinda anaonekana kuwa muwajibikaji ndani ya sirikali ye2. Amezungumzia swala zima la kubadili katiba na mchango wake ktk hili ni muhimu sana.