nchi ambayo haina vision .....sijui tunategemea tuweze kuendelea kwa misingi ipi!
nchi za wenzetu kama Japan, mawaziri wakuu wanajiuzulu kila kukicha, lakini hakuathiri uchumi wa nchi kwa sababu tayari wana vision yao, na wanajua wanaongozana vipi......sie kila anayekuja anakuja na ujuzi wake ambao ni ulaji tu....
nilijua haka ka-ugonjwa ka-kujadili watu kama watu na wala sio hoja ni dhambi kubwa ni sawa na kula nyama ya mtu... Hauwezi kuacha... Walianza kujadili mh. Mkapa wakati wa awamu ya tatu, sasa mh. Jk, alafu mh. Lowassa, alafu mh. Pinda... Baada ya hapo mh. Mbowe, mh. Dr. Slaa... Etc.... Wakiisha wanasiasa wataanza kuwajadili akina kasheshe, mwanakijiji, field marshall es... Etc... Mpaka kufa kwao... Maana kaugonjwa hakana tiba lakini kana chanjo angalau!
Heri yangu nina kinga/chanjo yake.
Mungu ibariki tanzania
JK hivi karibuni kasema Siasa basi tuongoze nchi Kisayansi lets wait and see probably ndio maendeleo mapya though he is not a person to be trusted at all!
Nilijua haka ka-ugonjwa ka-kujadili watu kama watu na wala sio hoja ni dhambi kubwa ni sawa na kula nyama ya mtu... hauwezi kuacha... Walianza kujadili Mh. Mkapa wakati wa Awamu ya Tatu, sasa Mh. JK, alafu Mh. Lowassa, alafu Mh. Pinda... baada ya hapo Mh. Mbowe, Mh. Dr. Slaa... etc.... wakiisha wanasiasa wataanza kuwajadili akina Kasheshe, Mwanakijiji, Field Marshall ES... etc... mpaka kufa kwao... maana kaugonjwa hakana tiba lakini kana chanjo angalau!
Heri yangu nina kinga/chanjo yake.
Mungu Ibariki Tanzania
Mkuu,
Inajadiliwa hoja hapa na sio mtu. After-all hoja ina originated from mtu so the two are concomintantly related...
Mawaziri pamoja na waziri mkuu wote hawajui kama wana madaraka makubwa nchi hii, wanalialia tu utafikiri kuna kuna uongozi wa juu zaidi yao tena. Si Pinda tu, ni mawaziri karibu wote ndivyo walivyo - hawawajibiki bali wanaongea kwa ubinafsi ili kujipatia umarufu usio na mbele wala nyuma. Si unajua waTZ tupo usingizini.
Huo ugonjwa wa kutowajibika upo kwa viongozi wa umma wa ngazi karibu zote, hakuna ajuaye wajibu wake.
Elimu yetu pia inachangia sana, wanaomaliza masomo wengi hawaandaliwi kuchangia mawazo mapya bali kufuata mkumbo wa utaratibu uliopo, kuwa myenyekevu na kutopinga mawazo ya mwenyekiti (- CCM of course).
Tangu tupate UHURU 1961 tumekuwa na mawaziri wakuu WATATU makini: Mwalimu, Sokoine na SAS.
Tangu tupate UHURU 1961 tumekuwa na mawaziri wakuu WATATU makini: Mwalimu, Sokoine na SAS.
Who is SAS?
The Tanzania Constitution is so clear. It is very bold. Very articulate that power belongs to the people .The people mentioned therein are the masses who make up almost 85 percent of the peasantry.
Kevo ni kweli lakini ni katiba hiyo hiyo inayosema kuwa Tanzania inafuata Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea. Ukiangalia kinachofanyika on the ground, utabaini kuwa aidha katiba ina makengeza, au watekelezaji hawajaielewa katiba