Kama walengwa waliotakiwa kuwa wa kwanza ku-observe facts kuwa siasa za kibongo hususan genge la watawala ndio haswa mzizi wa matatizo yoooote yanayotuzunguka, itakuwa vipi kutegemea kuwa siku za usoni tutakuwa na uongozi mzuri wenye kujali the common mwananchi na kuwaletea maendeleo??