Du huyu jamaa anafuata nyayo za sokoine na nyerere! May be the president to come!
Usanii at its best, PM asiye na TAMKO, Dowans wanataka fedha kwa uwizi wa wazi yy anaenda kulima? hivi X-mass ndio siku ya kulima?
Pinda umefanya nini huko kijiji kwako. Kujichanganya na wanakiji sio kitu, cha msingi nini umebadili kwa hao watu. Usijifanye mwanakiji kumbe ni born town wa kutupwa ila kuulaji unajichanganya na hao innocent poor pepole.
inaelekea kijiji kizima wamehamia kwa huyu mkulima,hesabu hao jamaa hapo wanaopiga chai,bado ndani sijui wako wangapi na kwingineko.
Hakuna kitu hapo ni usanii tu wa kutafuta kukubalika lakini ukweli huko pale pale. Atwambie kwanza Kagoda ni nani, meremeta, etc ndio tutajua kweli ana uchungu wa nchi na ni mtoto wa mkulima. Kwani nani sio mtoto wa mkulima? Hata Fisadi Lowassa ni mtoto wa mkulima vile vile!!!1
Tiba
Hapa hakuna cha umasikini ila ni uchafu tu. Hii ni aibu kwa kiongozi wa nchi. Waliotoa picha hii wajue wamemdhalilisha tu. Hapa inaonyesha bi mkubwa ameshindwa kusimamia usafi wa nyumba ya mzee. Huu uwanja unaonyesha haujafagiliwa, jiko chafu, wanaharibu mazingira kwa kukata miti, vyombo vipo shaghala baghala, jikoni majivu kibao, ona jinsi hii ndoo nyeupe ilivyo na mabaka sugu ya uchafu. Chai ipo jikoni kila mtu anajitekea kwa chombo chake na kwa wakati wake. Huyu naye anateka uji kutoka kwenye ndoo
But He still Nyoka wa Kibisa Jamaa hana makali wala hakuna mtu anayemuogopa, watu wanakwiba wanakwapua yeye kabaki mimi mtoto wa mkulima.Du huyu jamaa anafuata nyayo za sokoine na nyerere! May be the president to come!
VILLAGE LIFE: The now famous label for Prime Minister Mizengo Pinda, Son of a Peasant is amply illustrated in this picture as he adjusts his gum boots ready for another busy day in his farm. And what a better way to start the day than having a cup of hot tea being prepared in an open air kitchen! Mr Pinda is on a Christmas and New Year holidays at his home village in Mpanda District. Second left is his wife, Tunu. (Photo by PMO)