Zanzibar + Tanganyika = Zanzibar + Tanzania. Zanzibar = Zanzibar Remove Zanzibar both sides, we get Tanganyika = Tanzania. Therefore. Tanganyika was simply renamed to Tanzania. And there is a fake union, whereby one member was swallowed, and wants to be vomited.... Like the famous miracle of Yonah, in the Holly Books...Huu sio MUUNGANO ni MJUMLISHO yaani 1+1=2 au Zanzibar+Tanganyika=Zanzibar+Tanzania
Huu sio MUUNGANO ni MJUMLISHO yaani 1+1=2 au Zanzibar+Tanganyika=Zanzibar+Tanzania
Zanzibar na Tanganyika si nchi. Tanzania ni nchi yenye kuwa na Muungano wa Tanganyika na visiwa vya Zanzibar (Pemba na Unguja). Tatizo wengi wa Wazanzibari wanachukulia Tanzania ni Tanganyika kwa sababu ambazo zinakubalika kama mgawanyo wa rasimali ukiegemea upande mmoja wa Tanganyika (Tanzania Bara), tatizo kubwa ni structure ya Muungano na hayo wanayosema kero za Muungano. Kama ni Muungano basi hakukuwa na sababu ya kuwa na Marais wawili (wa Muungano na Zanzibar). Kama Zanzibar walitaka (tokea mwanzoni) wawe na Rais then ilikuwa na weakness ya viongozi kwani Tanganyika ingekuwa na Rais pia na Rais wa Muungano awe mmoja au kungekuwa na position kama Makamu wa Rais - Tanganyika na Makamu wa Rais - Zanzibar wawe chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
hii yote imeletwa na Mkapa alipo ruhusu ZNZ kuwa na bendera yao ya Taifa, Wimbo wa taifa hilo ndilo kosa kubwa sana alilifanya Mkapa alilifumbia macho sasa madhara yake ndio haya, ZNZ pia inakatiba yake.
nifahamuvyo mie kwa uwelewa wangu mdogo nchi ikiwa na bendera yake ya utaifa na wimbo wake pia basi jua hiyo nchi ni jamuhuri kwa maana inajitegemea yenyewe kwa kila kitu bila kutegemea nchi nyenzake (Tanzania)
serikali ya JMTZ ina jumla ya marais 5: Kitwete, Shein,Dr. Balali, Maalim Sefu, Balozi Seif Ally hao wate wana hadhi ya rais wanapewa ulinzi na watalindwa kama marais.
kwa nchi kama yetu ambayo "ni maskini" kuwa na mzigo wote huu wa marais 5 ni garama kubwa sana na mzigo wote huu anabebeshwa mlalahoi kwa kukatwa kodi kubwa kila mwezi.