Pinga hoja kwa hoja sio kwa matusi

Pinga hoja kwa hoja sio kwa matusi

Shanily

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2024
Posts
856
Reaction score
1,662
Hili swala la mtu unaleta hoja au unatoa wazo halafu anatokea binadamu mmoja anaanza kukutukana. Sasa unalazimisha akili zangu ziwe zako!?.

Kila mtu ana namna yake ya kufikiri na kuwaza usilazimishe tufanane, sasa ukitukana ndo umesaidia nini!?.

Tuheshimiane, umeona hoja hujaielewa na huwezi kuwa mstaarabu Katika kujibu pita kushoto.

Tujifunze kuheshimu mawazo ya watu wengine au hata kama ni kukosoa , kosoa kwa namna iliyo bora sio kutukanana au kukejeliana. Sijapenda.
 
Back
Top Bottom