WanaJF, moja ya mambo ninayoamini ni busara za wazee wakale, ila ninapata utata kidogo kwenye uhuu usemi wa Pingu za maisha kwanini ndoa inaitwa pingu za maisha, tunajua kabisa pingu ni kitu kibaya sana kufungwa. Je kwanini walisema kuona ni kufunga pingu za maisha. Inamaana maisha ya ndoa ni aina fulani ya gereza au? Nijuzeni

Ha ha haa wee Kongosho nani anavutia watu kwenda gerezani? Hata askari gereza mwenyewe hafurahii wafungwa kuongezekq japo ndoo kazi yake. Ndoa ni kweli ilianza zamani kuliko magereza lakini jina pingu limekuja baada ya gereza nafikirikwa nini usifikiri kuwa watu wa magereza waliiga watu wa ndoa??
Kwa kuwa ndoa ni tamu, watu wa magereza wakaamua kuwafariji wafungwa kwa kuziita zile pingu ili wafurahie kwenda gerezani.
Ha ha haa wee Kongosho nani anavutia watu kwenda gerezani? Hata askari gereza mwenyewe hafurahii wafungwa kuongezekq japo ndoo kazi yake. Ndoa ni kweli ilianza zamani kuliko magereza lakini jina pingu limekuja baada ya gereza nafikiri