Mbona mmeacha kupigana?... tutapigana mpaka haki ipatikane kwa watanzania wote.
Uko nje ya mada.Pro-Chadema JF tambueni mambo yakienda yakibadilika leo polisi wanaonekana wanafanya kazi vizuri na mnawapa sifa nyingi.
Kaeni mkijua hawa polisi hawana UTU wala ubinadamu siku wakipambana na Chadema tuungane pamoja kuwapongeza polisi.
Kujichukulia sheria mkononi kosa dogo? aliyenunua kiwanja asingekuwa mvumilivu, akataka kulinda mali yake iliyoharibiwa na iliyoporwaamani ingekuwapo?Jana Mahakama
imewataka polisi wametakiwa Kuacha kumfungua Pingu sheikh Ponda kwani
ni udhalilishwaji mkubwa kwa haki za binaadamu nchini.
wametakiwa kuacha kutumia vibaya sheria zilizopo
SOURCE: REDIO IMAAN.
MY TAKE:
KUMBE MBWEMBE ZOTE ZA POLISI WANAZOTUMIA KWA SHEIKH PONDA NA WAISLAM
NI SHINDIKIZO NA KUWAFURAHISHA WATU FULANI NA SIO KWA MUJIBU WA
SHERIA.MFUMO KRISTO HADI KWA DPP NA JESHI LA POLISI?
MBONA HATUKUWAHI KUMUONA ABDALLA ZOMBE, MCHUNGAJI MTIKILA NA WATUHUMIWA
WENGINE NA IWE KWA SHEIKH PONDA AMBAE AMESHTAKIWA KWA KOSA DOGOTU LA
KUKIKOMBOA KIWANJA CHA WAISLAM?
Redio iman ni ya nchi ngani mkuu, inajishughulisha na siasa za mlengo gani?
SOURCE: REDIO IMAAN. [B said:MY TAKE:
[/B]MFUMO KRISTO HADI KWA DPP NA JESHI LA POLISI?
MBONA HATUKUWAHI KUMUONA ABDALLA ZOMBE, MCHUNGAJI MTIKILA NA WATUHUMIWA WENGINE NA IWE KWA SHEIKH PONDA AMBAE AMESHTAKIWA KWA KOSA DOGOTU LA KUKIKOMBOA KIWANJA CHA WAISLAM?
Waislamu wakiongea mnasema walalamishi hiyo kazi kwenu tutapigana mpaka haki ipatikane kwa watanzania wote.
Kweli jela haina mwenyewe! Sasa jeuri yote iko wapi? Jela ni nouma jamani! Angalia sasa......
kumbe mtu anapokomboa kitu chake ni kosa japo dogo ee! ok.kumbe muhalifu aliefanya kosa dogo hatakiwai afungwe pingu na akifunga ni kinyume na sheria ee! ok. tukipata wanasheria kama ninyi mtatusaidia sana.
Waislamu wakiongea mnasema walalamishi hiyo kazi kwenu tutapigana mpaka haki ipatikane kwa watanzania wote.
Mwandikie malalamiko yako DPP, ukiyaleta hapa, hakutakuwa na mabadiliko yeyote, sana sana waweza jikutwa unapandishwa ghadhab na kuharibiwa Ijumaa yako.
Mbona mmeacha kupigana?
Kitu gani kinachokuonesha mungu anatetewa kwa silaha? Mm naona kukosa haki ndio kunasababisha watu wapigane, sasa km kudai haki ni kumtetea mungu, subiri ukidhulumiwa ww kaa kimya mungu atakutetea.Kwa wakristo siku ya kuabudu (jumapili au jumamosi) ni siku takatifu. Kwa wenzetu siku muhimu kuabudu ndo hutumiwa kufanya maovu kama uloyataja. Kama si shetani yuko nyuma yao, ni Mungu wa aina gani anayebariki matendo kama hayo? Isitoshe ni mwanadamu gani mwenye nguvu ya kumtetea Mungu? Mungu ana mamlaka yote hahitaji kutetewa kwa mapanga na marungu.
hawa wenzetu waislam bado sana sijui watatoka lini huko waliko maskini huyo sheikh ponda kiko wapi sasa.
:flock:tatizo kubwa,hamna uhakika na Mungu mayemwabudu.Mungu anao uwezo wa kujitetea na kamwe hapiganiwi na mwanadamu coz yy ni Mungu
Au mna mashaka na Mungu wenu??