Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Umeona nilipomtaja hapo mkuu?Demiss ni simba mkuu..
Hahaha picha zipo mkuu,siwez weka bila idhini yao[emoji23] [emoji23]Kumbe hizo ndo pin kali!! Yaani umeamini kwa majina bila picha mkuu?
Btw asante kwa taarifa
Hahaha naweka picha mkuuBila picha hakuna ukweli
Mkuu wafuate pm uwaombe idhini yao ili kuutendea haki uzi wakoHahaha picha zipo mkuu,siwez weka bila idhini yao[emoji23] [emoji23]
Sawa twasubiriaHahaha naweka picha mkuu
Nimefanya hvyo mkuuMkuu wafuate pm uwaombe idhini yao ili kuutendea haki uzi wako
Ndio ndio tegemeeni upinzani mkubwa sana toka side b[emoji23]Hao ni JF sweethearts
Ndio ndio tegemeeni upinzani mkubwa sana toka side b[emoji23]
[emoji849] kumbe..warembo wengi hapa jukwaani wengi ni watoto wa jangwani..warembo hao ambao wanaonekana wako vizuri upstairs na ni pini kweli kweli(kwa sauti ya jiwe) huwaambi kitu mbele ya yanga wakiongozwa na mama la mama
Hajar
Mzigua90
Nifah
Thad
Numbisa
zeshchriss
Hao ni baadhi tu wengine jitokezeni tuweze kuwaandalia kadi za uwanacha
[emoji87][emoji87][emoji87]usiwatie kimavi mdauwarembo wengi hapa jukwaani wengi ni watoto wa jangwani..warembo hao ambao wanaonekana wako vizuri upstairs na ni pini kweli kweli(kwa sauti ya jiwe) huwaambi kitu mbele ya yanga wakiongozwa na mama la mama
Hajar
Mzigua90
Nifah
Thad
Numbisa
zeshchriss
Hao ni baadhi tu wengine jitokezeni tuweze kuwaandalia kadi za uwanacha
Hahaha hapa naelekea hospital kupima pressure,, sio kwa msako ule aisee[emoji23][emoji23][emoji23]usijali tutawanunua hao wapinzani waunge juhudi za timu yetu
Simba eeeh??Aisee