[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana maana weekend hii haikuwa rafiki kwako
[emoji23][emoji23][emoji23]pole sanaYaan man u kapigwa,madrid droo,yanga droo khaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] mabingwa wa kihstoria wanapakatw vip sasa...2nd leg mnakufa za kutosha tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila hawa si ndo wazee wenu maana huwa hamchelewi kupakatwa
Best game everSawa mkuu mimi Liverpool
Unakumbuka jana
[emoji23][emoji23][emoji23]pole sana
Mimi sio simba bhana,nitake radhi basiWabheja sana simba sweetheart
Haha hata zile team nyumbu na mobetto??
Poleee kumbe upo manyumbu utd,wew unahali mbaya mnooYaan man u kapigwa,madrid droo,yanga droo khaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sio simba bhana,nitake radhi basi
Mimi ni team yoyote itakayo mfunga simba ama yanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleee kumbe upo manyumbu utd,wew unahali mbaya mnoo
[emoji124][emoji124] mmmh
Huyo dogo wa tai ni mtu mbayaa...lazima aondoke na point zoteMechi niliyokua naisubiri in ya Hacker Wa Thailand na Mark zuckenburg baahati mbaya imeahilishwa
Poleee kumbe upo manyumbu utd,wew unahali mbaya mnoo
Mimi nakuchagulia man cty na azam fcMara Mia niwe team paka na panya
We si unajua mie sijui mpira?[emoji124][emoji124]
[emoji15] [emoji15]Mimi sio simba bhana,nitake radhi basi
Mimi ni team yoyote itakayo mfunga simba ama yanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio jina lao walilobatizwa huku vibanda umizaNyumbu utd ndo mwanitesa utd??[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sasa una data zote maajabu shostie hahaha