Hizi ni nyimbo mbili kali ambazo whenever ninapozisikiliza zinanikumbusha hip hop ilipotokea. Enzi hizo nilikuwa mzee wa kuwakilisha kiukweli, wkt huo bongo fleva wapo wakongwe wachache sana akina 2 Proud, aka Sugu, Hardblasters na wengine wachache sana. Real life was good.