Pio Gama Pinto: Mkenya mzalendo mwenye asili ya kihindi aliyeuawa na wakenya weusi kwa kutetea ardhi ya Kenya isiporwe na wanasiasa

Pio Gama Pinto: Mkenya mzalendo mwenye asili ya kihindi aliyeuawa na wakenya weusi kwa kutetea ardhi ya Kenya isiporwe na wanasiasa

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Ndiye mkenya wa kwanza kukumbana na "Political assassination", damu yake imekua ndio laana kwa Kenya, hadi Leo mauaji ya kisiasa Kenya ni jambo la kawaida, na wanasiasa kujimilikisha ardhi na kuwaacha wananchi walala hoi wakiishi kama wanyama katika slums ni sehemu ya maisha ya Kenya

=======

Kenya's First Alleged Political Assassination

In the visibly untended City Park Cemetery lies a grave with the epitaph 'A light has been extinguished. Yet there arise a thousand beacons from the spark he bore'. The grave holds a great man. One of Kenya's greatest sons. His name Antonio Rudolfo Jose Pio Gama Pinto

On the 24th of February 1965 as he waited on his drive way for his gate to be opened, three men walked up to him. "Jambo" they saluted him. He was well known. But these were not supporters of his. As his daughter watched, one of the men shot Pio Gama Pinto. As he bled to death, the light to one of Kenya's greatest hopes was extinguished. It was a tragedy his young family and the nation would never recover from. He was only 38 years old.

At 17, Pio Gama Pinto was in Goa clashing with the Portuguese authorities in the region as he stood up for the colonised ethnic Goans. He was an active participant in strikes and was a founding member of a political party that aimed to liberate Goa from Portuguese rule.

He was no different back home. He sat on the Mau Mau Central Commitee and was responsible for countless supplies and arms that kept the Aberdare Mau Mau running. With the initiation of Operation Anvil by the Colonial Government, Pinto was among the over 100,000 Kenyans who were detained without trial. While it is almost impossible to prove if true, it is said that Pio Gama Pinto was the only Kenyan of Indian descent who was jailed. And he stayed in prison for five and half years. This was only but a small price to pay for the liberation of the nation. A decade later Pio Gama Pinto paid the ultimate price, his life.

Disillusionment set in among the true revolutionaries shortly after independence. Jomo Kenyatta was a land grabbing capitalist who was surrounded by a cabal of wolves that began the systemic pillage of the country. That set the ball rolling for what would be 57 years of theft. And counting. Pio Gama Pinto could not stand it.

Fitz De Souza, one of Pinto's greatest friends and President Kenyatta's lawyer told of a shouting match between Pinto and Jomo Kenyatta on Parliament grounds. The subject was on the former colonial farms which Pinto knew Kenyatta was grabbing. Pinto, in rage, shouted to the president "I'll fix you!". The retort was a promise of death. It was kept.

On February 24th 1965, the promise was kept and the three men believed to have been led by one Kisilu Mutua(he would later claim innocence) shot dead a man,a socialist revolutionary and a father. And thus began an era of political assassinations that robbed the nation of it's brightest lights. But from the sparks of those lights, may a thousand beacons rise.

Source: Kenya's First Alleged Political Assassination
 
pingli-nywee,

Usijaribu kuharibu uzi wangu wa maana, msimamo wa Tanzania juu ya Kenya mnaujua hauja badilika tangu enzi za Nyerere, kwamba Tanzania na Kenya ni maadui, haitotokea hata siku moja Tanzania kuichagua Kenya, mbona inaonekana kama vile ni jambo lililowashitua?, hivi mlitegemea Tanzania kuichagua Kenya?, kweli ninyi ni punguani wa akili.

Tafadhali usinichafulie Uzi wangu, rudi kule kwenye Uzi husika nitakujibu, hapa tuzungumze kuhusu Pio Gama Pinto
 
Kenya's First Alleged Political Assassination

Ndiye mkenya wa kwanza kukumbana na "Political assassination", damu yake imekua ndio laana kwa Kenya, hadi Leo mauaji ya kisiasa Kenya ni jambo la kawaida, na wanasiasa kujimilikisha ardhi na kuwaacha wananchi walala hoi wakiishi kama wanyama katika slums ni sehemu ya maisha ya Kenya.
Huyu niwa kutokea zambia au Tanzania. Watu wasiojulikana nimajambazi serikali ya comoros au tanzania!!

Shot 16 times, but still defiant

Shot 16 times, but still defiant
Tundu Lissu plans to return to Tanzania to fight President John Magufulis reign of terror after spending a year and a half in Kenya and Belgium recovering from a near-fatal attack. (Tony Karumba/AFP/Getty Images)

Tundu Lissu is a Tanzanian MP and a member of Chadema, the main opposition party. In September 2017, two gunmen attacked him outside his house in Dodoma City, an attack he believes was orchestrated by the government. He received medical treatment abroad and now wants to go home. He spoke to Simon Allison
 
Huyu niwa kutokea zambia au Tanzania. Watu wasiojulikana nimajambazi serikali ya comoros au tanzania!!
Shot 16 times, but still defiant
Staff Reporter

-
15 Feb 2019
0

Huyo hakufa, ni Wakenya wangapi wameuwawa kisa siasa ukicompare na mmetuzidi
 
Huyu niwa kutokea zambia au Tanzania. Watu wasiojulikana nimajambazi serikali ya comoros au tanzania!!
Shot 16 times, but still defiant
Staff Reporter

-
15 Feb 2019
0
Shot 16 times, but still defiant

Tundu Lissu plans to return to Tanzania to fight President John Magufulis reign of terror after spending a year and a half in Kenya and Belgium recovering from a near-fatal attack. (Tony Karumba/AFP/Getty Images)
Tundu Lissu is a Tanzanian MP and a member of Chadema, the main opposition party. In September 2017, two gunmen attacked him outside his house in Dodoma City, an attack he believes was orchestrated by the government. He received medical treatment abroad and now wants to go home. He spoke to Simon Allison
Tutajie mtanzania mmoja aliyeuliwa katika mauaji ya kisiasa, Mimi nitakutajia wakenya kumi, tena viongozi wa " level" ya mawaziri
 
Mdude Chadema: Watu wasiojulikana wamteka mwanachama wa upinzani Tanzania
  • 5 Mei 2019
Polisi Tanzania

Polisi katika eneo la Songwe nyanda za juu kusini mwa Tanzania imesema kwa haina taarifa kuhusu tukio la kukamatwa kwa kijana Mdude Nyangali maarufu Mdude Chadema anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana siku ya jumamosi.
Tukio hilo limeendelea kuzua gumzo katika mitandao ya kijamii ndani na nje ya nchi hiyo huku wanaharakati wa kutetea haki wakianzisha kampeini ya kutaka kijana huyo achiwe huru.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, George Kyando ameliambia gazeti la Mwananchi kuwa ''hajazipata'' taarifa ya kukamatwa kijana huyo.
kwa raha zako.......
View attachment 1484740
Majuto ataka kuuawa na watu wasiojulikana
Tuwekee watu waliouliwa wacha kuzunguka, kila mtanzania mmoja aliyeuliwa, nitakuwekea wakenya kumi
 
Mdude Chadema: Watu wasiojulikana wamteka mwanachama wa upinzani Tanzania
  • 5 Mei 2019
Polisi Tanzania

Polisi katika eneo la Songwe nyanda za juu kusini mwa Tanzania imesema kwa haina taarifa kuhusu tukio la kukamatwa kwa kijana Mdude Nyangali maarufu Mdude Chadema anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana siku ya jumamosi.
Tukio hilo limeendelea kuzua gumzo katika mitandao ya kijamii ndani na nje ya nchi hiyo huku wanaharakati wa kutetea haki wakianzisha kampeini ya kutaka kijana huyo achiwe huru.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, George Kyando ameliambia gazeti la Mwananchi kuwa ''hajazipata'' taarifa ya kukamatwa kijana huyo.
kwa raha zako.......
View attachment 1484740
Majuto ataka kuuawa na watu wasiojulikana
Mzee, huwezi linganisha mauaji ya kisiasa ya Kenya na Tz. Kenya mmezidi mnoo, and u know it
 
Back
Top Bottom