Pipe kama Pipe, huwa haina huruma na kuremba

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Nipo na machalii yangu fulani hivi hapa tunaelekea ofisini. Moja ya mazungumzo NI Kwanini wanaume mnachepuka

Chalii 1: Kama mke wa fulani yaani ni mzuri, anaupendo, ana huruma, mcheshi, mtanashati lakini sielewi kwanini mumewe ana chepuka tena live bila chenga Hadi huruma

Chalii 2: Madogo, pipe kama Pipe Mpendwa huwa hainaga huruma. Mwanamke anaweza akaja WA Hali zote nzuri Ila shida sio mwanaume shida ni pipe ya mwanaume, haiangalii mazuri yenyewe unajua kupeleka Moto tu muwe mnatusamehe sio Sisi ni pipeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Eti jaman ni kweli?! Pipe kama Pipe hainaga huruma?! πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
NYUZI ZANGU ZINGINE
1. Hii ndiyo sababu ya nguvu za kiume kupungua au kukosekana Kwa wanaume wengi
2. "Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi
3. Haijalishi mwanaume mrefu au mfupi, kama ana hela mimi napita nae
4. Je, mapenzi ni mabaya?
5. Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?
6. Alichonifanya mume wangu baada kurudi toka safarini
7. What you see is what you get!
8. Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?
9. Mpenzi wangu anajikojolea kitandani nifanyaje?
10. Happy Birthday Money Penny ~ March 8th Baby!
11. Nimepata mchumba kanisani kwenye Morning and Evening Glory, Novemba 2023 naolewa
12. Shule imemshinda anatafuta 'sponsor'!
13. ''I love you Baby, kissess mwaaah'' ndio maneno nakutana nayo kila asubuhi, wewe je?
14. Money Penny Mpenzi, naomba namba yako ya simu
15. Story: Money Penny ni nani lakini?!
16. Jinsi ya kumtunza Mume - Shangingi afunguka!
17. Jinsi ya kumkataa mwanaume
18. Pipe kama Pipe, huwa haina huruma na kuremba
19. Kwanini wanawake wenye Wowowo kubwa Huolewa na Wanaume Wembamba?!
20. Swali la tendo la ndoa kwa Mchungaji kwenye mafundisho ya ndoa
 
Kwa kawaida mambo ya pipe walipaswa waongelee Wanawake na labda ma-gay kwa maana wao ndiyo wanaojua kama pipe ina huruma au la, Mwanaume wa kawaida utajuaje kama pipe ya Mwanaume mwingine ina huruma au haina?
 
Hiyo hali hutokea pale kichwa cha chini kinaposhinda maamuzi ya kichwa cha juu.
 

24hours bichwa lako linawazaga ngono tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…