Pipi hufanywaje ikiwa mdomoni?

mwachisabwe kibona

Senior Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
116
Reaction score
27
jaman wanajamvi habari zenu? naomba kuuliza ivi kwa kawaida pipi ikiwa kinywani kwa kiswahili sanifu inakuwa inafanywaje? au mtu anakuwa inaifanyaje?
 
Kichwa chako cha habari unauliza "mdomoni" utumbo wako wa habari unauliza "kinywani". ??
 
Inarambwa, inanyonywa, inamumunywa na utamu ukizidi sana hatimaye maji yake humezwa...kwa utamu wa pipi ni mate yako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…