Mi nnachojua ali kiba atakuwa na shoo mitaa ya Geita vijijini
Baada ya kuzoeleka kwamba kila mwaka Diamond platnumz kukonga nyoyo za watu wa Nai katika concert ya Safaricom. Sasa imekua ndivyo sivyo, baada ya waandaji hao kubadilisha upepo na kumchukua Jose Chamilione ili kuwauliza watu wa Nai kwamba WALE WANANI MPAKA KUWASHINDENI NYIE KWENYE INDUSTRY MUSIC? Hii inaonyesha kwamba Demand ya Diamond platnumz now is decreasing while Jose Chamilione is going high.
nyinyi ndo mnafanya watz tunaonekana hamnazo sasa ww uwezi kujiongeza kwamba kuna varieties za wasanii?kichwa maji kweli ww
Hivi kwa nini waTanzania wengi wana mentality hii ya 'chetu ni kibaya na dhaifu...cha jirani ni kizuri na bora zaidi'? Chameleone alikuwa juu sana kabla hata Diamond hajavuma....Diamond akapanda kwa kasi sana EA na hata nje ya EA (West Africa)...lakini wewe unamuona Diamond anashuka na Chameleone anapanda...nani anayeshuka na nani anayepanda kati yao!?
Mi nnachojua ali kiba atakuwa na shoo mitaa ya Geita vijijini
Mi nachojua katika hiyo shoo atalipwa 45m.