Pira Burudani Vs Pira Lawama

Pira Burudani Vs Pira Lawama

Leo nilichafukwa sana sana, timu yangu kama zezeta fulani daah nimeudhika, shukrani tumepata sare bila hivyo nilikuwa nalewa mpaka Asubuhi, at least ntaondoka saa7 ndio nalale na kamodo ka kinyamwezi
 
Simba kama MANU....ukubwa umebaki kwenye jina tu....uwanjani hamna maajabu.
#pirakibegi😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom