Piramidi za Giza nchini Misri

Duh!!, Mkuu ni kama sijakuelewa hivi!!, Very interesting issue. Sasa unaonaje km ungeileta hapa watu tuelimike?.
 
OK.
 
Mkuu, Kama una Ufahamu Kuhusu ishu hii Tafadhali nisaidie, hasa hiyo ya Kain kuwekewa alama usoni ili Wanadamu wasimdhulu na kwamba alienda ktk nchi ya Wanadamu.
 
Weka picha
 
Halafu nasikia Mawe yakutokuwa yanatumika yalikuwa makubwa sana na mazito sana, kiasi cha kushangaza Wengi yaliwezaje kupandishwa juu kwa ukubwa huo?.
 
Halafu nasikia Mawe yakutokuwa yanatumika yalikuwa makubwa sana na mazito sana, kiasi cha kushangaza Wengi yaliwezaje kupandishwa juu kwa ukubwa huo?.
Yes jiwe moja unakuta lina tani kadhaa ndipo wanazidi shangaa waliwezaje jenga pyramid za namna hiyo so accurately bila dhana za kisasa
 
Nimekusoma mkuu
 
Mkuu ambacho wengi hawako aware ni kuwa zilikuwapo civilization nyingi kabla ya hii yetu ya sasa,ni makosa kufikiria kuwa hii Era yetu ndio pekee iliyogundua na kutumia sayansi na teknolojia.Tunadhani kuwa elimu iko linear kuwa vitu kama umeme,kompyuta na vyenginevyo ni vitu vilivyogunduliwa karne hizi za mwishomwisho na kwamba hapo kale techonologia hazikuwepo ilhali ni kwamba zilikuwapo kisha zikapotea na civilization zao zilipopotea hivyo katika hiki kipindi cha miaka 5000 au zaidi ilikuwa kama tunaanza upya.

Mfano mzuri ni hii Antikythera mechanism a.k.a the worlds earliest known computer from 205BC,ambayo inaaminika ama kuhisiwa kwa mujibu wa maelezo ya Cicero kuwa ilitengenezwa na archimedes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…