Maini ya kuku yapo super markets unaweza kununua kwa portions upendazo nadhani yanaanzia nusu kilo sababu wao huchinjisha kuku na kutenganisha kila kitu kama sehemu ya bidhaa kujiongezea faida maana ukisema uchinje mwenyewe utachinja kuku wengi kupata maini kilo moja ila supermarkets yapo tayari.Nafikiria maini nusu kilo ya kuku ni kuku wangapi na gharama yake
Wanauza yakiwa tayari supermarket yapo hata firigisi zipoIdadi ya kuku itakuwa kubwa ili kukamilisha nusu ya maini
Me mara nyingi nabeba firigisi zikiwa na maini full hata sijui km kuna maini ya kuku peke ake!!! Jiko lenyewe nishamsusia dada na hivi sina mume jikoni kuingia kwa nadra sana πππππWanauza yakiwa tayari supermarket yapo hata firigisi zipo
Mungu akujaalie upate chaguo la my heart wako.....horneyyyMe mara nyingi nabeba firigisi zikiwa na maini full hata sijui km kuna maini ya kuku peke ake!!! Jiko lenyewe nishamsusia dada na hivi sina mume jikoni kuingia kwa nadra sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu akujaalie upate chaguo la my heart wako.....horneyyy