Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
SHURBA
Mahitaji
Mahitaji
- Ngano nzima nusu
- Nyama kg1
- Tungule 1kubwa
- Kitunguu maji 1
- Somu na tanga wizi kijiko 1cha mezani.
- Pili pili boga1
- Pilipili manga kijiko kidogo
- Uzile au bizari nyembamba kijiko kidogo
- Mdalasini kijiko kidogo
- Mafuta kijiko cha mezani.
- Magiagi kidonge cha supu
- Chumzi
- Chemsha ngano mpaka ziweve.
- Chemsha nyama pamoja na kitungu somu na tangawizi mpaka iwive sana iwe laini laini sana.
- Ikiiva nyama, kata kitunguu maji na tungule pili pili boga changanya kwenye nyama.
- Tia magi na spais zote.
- Ipike kwa dakika 5 au 10 hakikisha vimeiva
- Vikiiva utatia ngano zako ulizo zichemsha
- Utachanganya vizuri mchanganyiko wako halafu utatia mafuta na kukamulia limau kidogo.
- Utapika kwa dakika 5/10