Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Katika kumalizia weeknd leo mapema sana nimeingia kidimbwi beach kurefresh kujiandaa na mikiki ya kesho. Kadiri muda unavokwenda pisi zinaingia ni hatari pisi kali sana, hivi hzii pisi zinakuwaga wapi? Mbona mchana sikutani nazo mtaani?
Au ndo zinakuwa zimelala sahv ndo zinaamka? Aisee ni shidaa wajumbe tutafute pesa[emoji1316]. Mungu ibariki Tz.
Au ndo zinakuwa zimelala sahv ndo zinaamka? Aisee ni shidaa wajumbe tutafute pesa[emoji1316]. Mungu ibariki Tz.