Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Hapo kidimbwi pana happen sana eeehee??..ngoja niuze njugu mawe zangu nije huko darisalade
Sasa mjomba unataka waje mchana mapema wamekua watoto wadogo
Zipo mbili nakaa nazo hapa ghetto tunaingia 2nd year. Kuna nyingine mbili zinakuja kuwapa kampani zinaungana na kuwa mtu nne kila weekend Kidimbwi. Sidhani kama ziliwahi kula bata sehemu tofauti ila leo hazijaenda zilikuwepo jana.
Nyinyi ndo mnazileta siku nyingine saa 10 alfajiri na hizo Brevis zenu wakati huwa zinaondoka na Bolt.
Yaani utafute pesa kwa ajili ya kupata MA_LA_YA wa kidimbwi?Katika kumalizia weeknd leo mapema sana nimeingia kidimbwi beach kurefresh kujiandaa na mikiki ya kesho. Kadiri muda unavokwenda pisi zinazoingis ni hatari pisi kali sana, hivi hzii pisi zinakuwaga wapi?? Mbona mchana sikutani nazo mtaani??
Au ndo zinakuw zmelala sahv ndo zinaamka?? Aisee ni shidaa wajumbe tutafute pesa[emoji1316]. Mungu ibariki Tz.
Tatizo lile chimbo lina mambo meusi zaidi aiseeeeHapo kidimbwi pana happen sana eeehee??..ngoja niuze njugu mawe zangu nije huko darisalade
Nyingi zinakua class or room zinajisomeaMchana mtaani sizioni kitaa