Piston rings original za boxer 150

Piston rings original za boxer 150

devinyo1987

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
268
Reaction score
370
Wakuu ntapata wapi piston rings original za boxer na zinauzwa sh ngapi??? Ntazitambua vip
 
Mkuu nakushauri kama mfuko unaruhusu kanunue block mpya inacheza elf 90dukani kwa mo dewji round about ya kwenda sentro polisi na mataa ya kamata ndio kuna duka lake la spea na bodaboda mpya hapo nadhani itakusaidia sana kuliko kuhangaika na kutafuta ring piston
 
Sawa kabisa shukran
 
Vp na clenkes nawza zipata!!
 
Spares zipo kila kona mkuu ila nakushauri ukibadili rings piston ubadilishe na valve silly.
Ila shida kubwa wa hizi bike ni ukishaigusa na kufungua engine tu inapoteza ule mungurumo wake yani hata ukafanyie service engine kwa mawakala wao bado bike inakua na mungurumo wa hovyo.
 
Back
Top Bottom