devinyo1987
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 268
- 370
Sawa kabisa shukranMkuu nakushauri kama mfuko unaruhusu kanunue block mpya inacheza elf 90dukani kwa mo dewji round about ya kwenda sentro polisi na mataa ya kamata ndio kuna duka lake la spea na bodaboda mpya hapo nadhani itakusaidia sana kuliko kuhangaika na kutafuta ring piston
Sh ngapi original
Vp na clenkes nawza zipata!!Mkuu nakushauri kama mfuko unaruhusu kanunue block mpya inacheza elf 90dukani kwa mo dewji round about ya kwenda sentro polisi na mataa ya kamata ndio kuna duka lake la spea na bodaboda mpya hapo nadhani itakusaidia sana kuliko kuhangaika na kutafuta ring piston
Wanavyo kila kitu kinachohusiana na bodaboda za boksaVp na clenkes nawza zipata!!