Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
We Pilato ndo yule.jamaa fundi simu wa Kwa Dr.Phone stand ya Lushoto? am I right? yeah iam damn right....Sijaleta siasa wewe ndio unataka kuleta siasa biashara kama unajua sehemu wanachukua hao waganda nawe zifuate huko huko maana itakuwa nafuu kwako
ndo mana hii mikato Radio and weaz walikuwa wanaipe sana na Vampino kumbe ni ya kumwaga tu buku tatu tatu
Wacha bana!ndo mana hii mikato Radio and weaz walikuwa wanaipe sana na Vampino kumbe ni ya kumwaga tu buku tatu tatu
Dada tupe mrejesho basi ya huko Kampala kama umeenda tenaKampala ni hatari sana,,nlisoma hizi nyuzi zimenisaidia sana,,nimemaliza kufunga mzigo kesho narudi Tz,,ndani ya week nne ntarudi,,nimeona fursa nyiiingi,,naenda kujipanga nirudi na nguvu ya hatari
Long live Jf
Sasa hapo cha ajabu kitu gani? Mbona show za uchi Bongo ni za kumwaga tu?Jaman mkienda kampla msisahau kuangalia show moja inaitwa kimasulo ....we ingea tu bar uliza kama kuna kimasulu...utakula na macho ukitaka na mwili utakula yan n wewe tu...watoto kama nane hivi wanacheza uchi .unasiwa kushika kokote kwasabab umelipia entrance ila usisau kukaa viti vya mbele kwasabab ukitia kidole au akijichezea huwaga wana splash maji utafikili n bomba la maji kumbe n kkkkkkkkk....
lipa kodi kwa maendeleo ya Nchi yako , kuwa mzalendo kwa pamoja tuijenge nchi yetu pendwaUshuru hapo wakiamua kukukomoa unaweza omba mgawane mzigo ili wakuachie, wana roho mbaya kama nini washenzi wale. Kabla hujaanza tafuta mfanyakazi wa TRA hapo border ongea nae kiutu uzima (sijui umenielewa?) kama ni mtaji mdogo nunua mabegi madogo madogo hivyo nguo zikunje vizuri na kuziweka kwenye hizo begi, then kataa kuweka kwenye buti la basi isipokuwa ingia nazo ndani ya basi kwa mchongo na kondakta mkiwa Kampala usiku wa kuamkia safari. Utapita border ukila ndizi tu za kuchoma kwa raha zako lkn kama ni mzigo mkubwa fanya hiyo ya kumuona mtu wa TRA tofauti na hivyo hutarudi tena Kampala.
Ushuru hapo wakiamua kukukomoa unaweza omba mgawane mzigo ili wakuachie, wana roho mbaya kama nini washenzi wale. Kabla hujaanza tafuta mfanyakazi wa TRA hapo border ongea nae kiutu uzima (sijui umenielewa?) kama ni mtaji mdogo nunua mabegi madogo madogo hivyo nguo zikunje vizuri na kuziweka kwenye hizo begi, then kataa kuweka kwenye buti la basi isipokuwa ingia nazo ndani ya basi kwa mchongo na kondakta mkiwa Kampala usiku wa kuamkia safari. Utapita border ukila ndizi tu za kuchoma kwa raha zako lkn kama ni mzigo mkubwa fanya hiyo ya kumuona mtu wa TRA tofauti na hivyo hutarudi tena Kampala.
Hotel gani n nzuri kufikia ambayo wana hiyo huduma ya kupewa mtu wa kukuzungushaMaduka ya nguo ama bidhaa huwa yako sehemu moja lakini katika style ya Malls. Ukishuka kwenye basi na kufikia Hotel (Tanzania mnaita Guest house) waambie pale reception wakupatie kijana wa kukupeleka mjini (kukutembeza). Utamlipa shilling 15,000/=ya Uganda sawa na 9,000/= ya Tanzania. Siku nzima. Huyo mtu unayepewa lolote atakalokufanyiwa amedhaminiwa na hiyo Hotel, epuka wale wa mitaani ni wezi kuliko hata Watanzania. Baada ya safari mbili utakuwa mwenyeji. Sasa sijui mwezangu unaongea lugha gani lkn kama wewe ni Mhaya hakuna shida maana mnasikilizana na Waganda.
Mdau mm naomb kama una business card za wauza viatu vya wadada, simple simple, raba, high hills,Mdau mmoja ameomba nimpatie business card private. Kwa faida ya wote naziweka hapa. vzrView attachment 436512View attachment 436513View attachment 436514View attachment 436515
mkuu ulipata hizo business card na mimi nahitajiMdau mm naomb kama una business card za wauza viatu vya wadada, simple simple, raba, high hills,
Ndo naanza hi I biashara
Mkuu kama umepata hizo business card tupeane PMmkuu ulipata hizo business card na mimi nahitaji
Show babu baikoko???Sasa hapo cha ajabu kitu gani? Mbona show za uchi Bongo ni za kumwaga tu?
Itakuwa mgeni wewe.
sijapata mkuuMkuu kama umepata hizo business card tupeane PM
Siko TZ for now days hizo business taziomba kwa wife Tz then takutumia mkubwa,sorry for rate replyMdau mm naomb kama una business card za wauza viatu vya wadada, simple simple, raba, high hills,
Ndo naanza hi I biashara
Sorry big dady uliza kingine nimemgeukia MunguHotel gani n nzuri kufikia ambayo wana hiyo huduma ya kupewa mtu wa kukuzungusha
Kukata tamaa ni dhambiDuh nimepaniki tayari, nilikuwa na mpango wa kwenda January mapema au December mwishoni
Thanks buddylipa kodi kwa maendeleo ya Nchi yako , kuwa mzalendo kwa pamoja tuijenge nchi yetu pendwa
Siko TZ for now days hizo business taziomba kwa wife Tz then takutumia mkubwa,sorry for rate reply
Boss upo? Upepo wa Kampala ni ule ule?Thanks buddy