PITA HAPA: nauza mikoba na mabegi kwa jumla:

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
529
Reaction score
483
Wapendwa poleni na majukumu.
Karibuni Sana nauza mikoba na pochi za kike pamoja na begi kwa bei ya jumla .
Napatikana dar temeke
Karibuni Sana mikoni tunatuma kwa njia ya basi. 
0694 185 384


 
bei ya jumla shilingi ngapi mkuu unauza kuanzia pc ngapi?

ni hayo kiongozi
 
bei ya jumla shilingi ngapi mkuu unauza kuanzia pc ngapi?

ni hayo kiongozi
Kuanzia pisi 10 na bei ni tofauti tofauti begi Kuna 3500 kwa 5000. Kwa upande wa mikoba inaanza na 3500 jaribu bosi
 
Nimependa title ya tangazo ilivyoandikwa safi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…