bea alonzo
Member
- Dec 15, 2016
- 96
- 28
Cjwah kunywa pombeJaribu kwenda kwa wataalam wa tiba mbadala
Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona.Habar saa Hz wanajamii forum. Mm nikijana mwenyewe miaka 27 nmekuwa nikisumbuliwa na tatizo la miguu na mikono kupata moto kwa mdaa mrefu sasa nmeenda hospital nikapewa vdoge vinaitwa neuron support nmetumia lakini bado nataseka sana naomben msada na ushauri. Mungu awabariki