alexis jr
JF-Expert Member
- Sep 28, 2014
- 393
- 343
Habari wakuu,
Kwa members wenzagu wa 90 's n below nadhani tunaweza kumbushana baadhi ya TV series zilizotamba sana enzi hzo ambazo ikifika mida hiyo familia nzima either nyumbani au kwa kuzamia kwa jirani mna kaa mnachezi series mi naanza na hz
The long wait
The promise
passion
Days of our lives, Acapulco
Tupia hapa zingine na story za hapa na pale tujikumbushe