Kwanza kuna hii kitu
1.THE BOLD AND THE BEAUTIFUL nilikua naangalia matukio mpaka naelewa saa 2:30 hiyo ITV baada ya habari.
2. WALKER TAXES RANGER sijui nimepatia spellings zake ya bwana Chuck Norris hio
3. Acapulco Bay
4> The Beast Master Michael 'Dudikof'
5. Passion wakina Timmy na Thabitah mchawi
6> Robocop kama ulikuwepo basi utajua namaanisha nini
7. Tausi ya Wakenya Sugu... Siti Bint Kasri nk.
8. Mambo Hayo ya kina Richie Richie a.k.a Single Mtambalike na Bishanga sijui alipotelea wapi kwenye Tasnia ya Sanaa?
9. Kidedea ya Mzee Jengua
10. Mizengwe enzi za Max na Zembwela... maharage mboga ya matunda mama nikimkumbuka............... roho inauma.